Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema ukaguzi wao umebaini kuna dawa za thamani ya bilioni 2 zinaonekana zipo njiani toka Dsm Keko kwenda Hospitali ya Muhimbili Upanga tangu May mwaka 2012. Hazijafika Muhimbili hadi Leo - miaka 4!!
Hii ni safari ndefu ya dawa kuliko zote Duniani!!
Note: Nimeikopi mahali na nimecheka na kuvunja mbavu zote. Sijui hizi dawa zitakuwa zimekwamia mataa ya wapi? Hatuwezi kuomba njia ya kutoka Keko matrafiki wavute magari siku nzima kwenda Muhimbili?
0 comments:
Post a Comment