Search This Blog

Saturday, April 23, 2016

MUSEVENI ATOA KAULI YA MWISHO BOMBA LA MAFUTA


UGANDA: Rais Museveni ametoa kauli ya mwisho kuwa Bomba la Mafuta litapita njia ya Kaskazini mwa Tanzania hadi Bandari ya Tanga.
-Kauli hiyo imetolewa leo mbele ya Marais wa Kenya, Rwanda, na Wawakilishi wa Sudani Kusini, Ethiopia, Tanzania, DRC na Burundi.
Share:

0 comments:

Post a Comment