Search This Blog

Monday, April 25, 2016

MAKATIBU TAWALA WA MIKOA WA MAGUFULI HAWA HAPA




Rais wa Tanzania JPM leo kafanya uteuzi wa makatibu tawala wapya wa mikoa 26 ya Tanzania kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mwezi desemba 2015.
Katika uteuzi huo amewatua makatibu wakuu wapya kumi(10) huku wengine kumi na sita wakiwa wa zamani.

Makatibu wakuu wapya walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-


  1. Arusha-----Richaerd Kwitega
  2. Geita-------Selestine Muhochi Gesimba
  3. Kagera-----Armatus C. Msole
  4. Kilimanjaro---Eng Aisha Amour
  5. Pwani---------Zuberi Mhina Samataba
  6. Shinyanga----Albert Gabriel Msovela
  7. Singida-------Dr AngelinaMageni Lutambi
  8. Simiyu------Jumanne Abdallah Sagini
  9. Tabora------Dr Thea Medard Ntara
  10. Tanga-------Eng Zena Said
Walibadilishiwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo:-


  1. Kigoma---Charles Amos Palangyo(kutoka Geita)
  2. morogoro---Dr John S Ndunguru(Kutoka Kigoma)
Waliobakishwa ktk vituo vyao vya kazi ni kama ifuatavyo:-

  1. Dar es saalaam----Theresia Louis Mbando
  2. Dodoma-------------Rehema Hussein Madenge
  3. Iringa----------------Wamoja Ayubu Dickolagwa
  4. Katavi---------------CP Paul Chagonja
  5. Lindi----------------Ramadhan Habibu Kaswa
  6. Mara---------------Benedict Richard Ole Kuyun
  7. Manyara-----------Eliachim Chacha Maswi
  8. Mbeya-------------Mariam Amri Mjunguja
  9. Mtwara------------Alfred Cosmas Luanda
  10. Mwanza----------CP Clodwing Mathew Mtweve
  11. Njombe-----------Jackson Lesika Saitabau
  12. Rukwa------------Symthies Emmanuel Pangisa
  13. Ruvuma----------Hassan Mpali Bendeyeko
Aidha makatibu tawala wapya 10 ambao wameteuliwa kwa mara ya kwanza wanatarajiwa kuapishwa siku ya jumatano tarehe 27 april ikulu jijini Dar es salaam.
Share:

0 comments:

Post a Comment