Straightbook ni System ya kusimamia biashara yako, "MADE IN TZ".
Imetengenezwa Tanzania kwa kuzingatia mazingira halisi ya Kitanzania na Dunia kwa ujumla.
StraightBook itakusaidia nini?
- Itakuwezesha kujua mtaji wako halisi wa biashara yako zikiwemo mali zinazohamishika na zisizohamishika pamoja na bidhaa/huduma zote zinazouzwa
- Itakusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo yako ya kila siku na kipindi chote cha biashara yako.
- Itakusaidia kukupa mahesabu ya mauzo ya siku, wiki, mwezi, mwaka au muda wote wa biashara yako tangu uanze kutumia system.
- Itakuwezesha kujua mauzo yako yote tarajiwa na faida kulingana na mtaji wa bidhaa zinazouzwa
- Itakuwezesha kujua faida/hasara unayoipata wakati wowote ikiwemo siku, wiki, mwezi, mwaka na muda wote
- Itakuwezesha kukutengenezea ripoti zote za kitaalam za kibiashara
- Itakupatia document za kibiashara za kila siku kama vile Receipts, Invoice, Delivery Note, Sales& Purchase Orders, Stock List, Price List, Customer List, Suppliers List,Out Of Stock Items List etc
0 comments:
Post a Comment