mahakamani.
"Hizo nyumba alipata wapi?”
Alisema kuwapeleka mahakamani mafisadi hakusaidii na alipendekeza wanyang’anywe nyumba na mali zote walizopata kwa njia za wizi na ukwepaji wa kodi.
Kuhusu mapato na matumizi ya Bunge, Kessy alisema wabunge wengi wanasafiri kama wakimbizi na alimsifu Rais Magufuli kwa kudhibiti safari za nje.Alisema Rais ameanza kupigwa vita baada ya kuzuia ulaji wa watu na alisisitiza kuwa safari zisizokuwa na tija zipigwe marufuku, ili wabunge waishi kwa kufanya kazi majimboni kwao walikochaguliwa.

0 comments:
Post a Comment